Friday, December 19, 2008

MATENGENOZO YA UPROTESTANTI




Hii pia ni sanamu ya mke wa Martin ambaye alimtoa kwenye usista.

Wittenberg umebakia kama kumbukumbu ya matengenezo ya kikristo baada ya zama za giza. Pale utakuta kitu cha pekee mafundisho ya hski kwa imani kwa njia ya picha na sanamu za mashujaa kama akina Martin Luther na Melancthon. Kulikuwa na mada 95 za kujadili ambazo zilitingisha ulimwengu.

No comments: