Friday, December 19, 2008

SAFARI YA GOSLAR TAREHE 17 DEC, 2008







Hiyo ni sanamu ya chancelor Otto von Bismac ambaye alikuwa mwanasiasa mashuhuri sana Ujerumani. Yeye ndiye aliyeitisha mkutano wa kugawa bara la Africa. Baada ya kuwekwa pembeni na Kaisari wake aliekosa hekima Uhausiano wa Ujerumani na mataifa ya Ulaya ukadorora na hadi kuanza kwa vita vya kwanza vya dunia.




Hapa ni picha za mji wa kihistoria wa Ujerumani unaoitwa GOSLAR, wenye miaka zaidi ya 1000, ama kweli waliendelea mapema! Sie bado tupo kwenye nyasi je babu zetu miaka 1000 iliyopita ilikuwaje? Tulipata msosi kwenye hoteli moja matata sana na baadaye tukzynguka yunguka kwenye mitaa ya mji huo wa kumbu kumbu ya kale ya ulaya.

No comments: