Friday, December 19, 2008

Karibu nyumbani kwangu






Hapa ndipo nipapoishi kwa sasa hivyo karibu kama jasho la mtu laliwa.
Ni Ofisi na mahali pa kulala pia raha na tabu pamoja tukitayamia mji ambao mwenye kuubuni na kuujenga ni Mungu.

Hata hivyo naikumbuka sana familia yangu na ofisi ya AWR/ETC

No comments: