Wednesday, November 12, 2008

TRIPU YA BOGENHOFEN, AUSTRIA

KUNA KIBASISI MWEUPE NA MWEUSI! otherwise ilikua ni tripu nzuri sana, Kutembelea chuo cha kiadventista kilichoko nchi jirani ya Austria, kisha tukaenda kuona Castle ndefu kuliko yote katika nchi ya Ujerumani kusini, yaani Bavaria. Tulishangaa kuona majengo ya karibia karne ya kumi baada ya kristo. Tukaona magereza za ndani ampapo wakristo waliteswa kwa kushutumia heresy! Kwa leo naishia hapo.




Ilikuwa tarehe 6-9, Novemba 2008 Tukarudi tumechoka na kushiba mambo, tembea uone.

No comments: