Tuesday, November 11, 2008

Mnara wenye malaika wa dhahabu nembo ya ushindi wa wajerumani kwa mataifa makubwa ya ulaya katika karne ya kumi na tisa.




Ilibidi tukae kwenye boti na kutalii berlin, tukivaa headphone zenye uwezo wa kutafsiri. Pia tukaenda kuteleza kwenye theluji, nilitishika sana kukaa kwenye aina ya tairi la utelezi!
Tukaona jengo la utawala wa Wajerumani, halafu tukaona kumbu kumbu ya mauaji ya halaiki ya wayahudi chini ya utawala wa kinazi. Inatisha.

No comments: