Friday, January 30, 2009

HIVI MBINGUNI KUKOJE?


MAANA NAONA USAFI HUU NA WEUPE HUU UMESHUKA KUTOKA JUU; JE NA UCHAFU WETU TUTAFIKA? NI KWA NEEMA TU!
" 3``Wamebarikiwa walio maskini wa roho; maana Ufalme wa mbin guni ni wao. 4Wamebarikiwa wanaoomboleza; maana watafarijiwa. 5Wamebarikiwa walio wapole; maana watairithi nchi. 6Wamebari kiwa wenye hamu ya kutenda haki; maana wataridhishwa. 7Wamebari kiwa walio na huruma; maana nao watahurumiwa. 8Wamebarikiwa walio na moyo safi; maana watamwona Mungu. 9Wamebarikiwa walio wapatanishi; maana wataitwa wana wa Mungu. 10Wamebarikiwa wanaoteswa kwa kutenda haki; maana Ufalme wa mbinguni ni wao."

Matayo 5:3-10 (Kiswahili cha Kisasa)

No comments: