Adventist World Radio special program for Maasai people is giving voice to a trumpet. The shortwave programing is from Meaton Johannesburg South Africa covering broad Africa especially targeting East Africa Federation to be.
------------------------------------------------
MPANGO WA KUGAWA REDIO 200 NA SUPER POWER MEGAPHONE 200 UMASAINI TANZANIA KWA AJILI YA VITUO VYA WASIKILIZAJI WA AWR IDHAA YA KIMAASAI
I. MKAKATI WA INJILI UMASAINI (STRATEGIC PLAN)
A. 1. Kuorodhesha wainjilisti wote wenye kipaji cha kuwafundisha watu neno
la Mungu.Pia ikiwezekana wawe na uwezo wa kufundisha wafugaji wa kimasai hasa watoto na watu wazima kusoma na kuandika.
2. Kila kanisa litembelee maeneo waliyopewa au zitafute zenyewe kama kuna maeneo yaliyosahauliwa katika mpango huu. Hilo litasaidia kuweka malengo ya kiinjilisti Umasaini.
3. Kuorodhesha washiriki wenye uwezo na wanaowiwa kufadhili mradi wa uinjilisti Umasaini.
· Makanisa yenye uwezo ya saidie baadhi ya vituo.
· Watu binafsi wanaowiwa.
· Konferensi au Field husika iweke mpango katika maeneo mapya (Global Mission).
B. Kugawa Redio 200 na vikuza sauti (Super power Megaphone)200
1. Redio 200 zitatoka AWR na vikuza sauti 200 zitanunuliwa na kanisa/Konferensi/mfadhili. Kila kikuza sauti itawezeshesha boma zima kusikiliza kwa urahisi(inakuwa kama setilaiti ya porini). Kila kikuza sauti kinauzwa shlingi za kitanzania laki moja na elfu tano (105,000/=).
2. Kazi ya mwinjilisti/mwalimu ni kuunganisha redio na kikuza sauti, halafu baadae kujibu maswali. Pia mchana waendelee kuwafundisha watu kusoma na kuandika. Akipatikana mwenyeji wa jamii ya Kimasai anayeelewa haraka basi asaidiane naye. Pia atatuma ripoti juu ya maendeleao ya kituo kwa kanisa kisha kanisa kwa Konferensi/Field na hatimaye Union na AWR/VOP Tanzania.
3. Kuwafundisha watu kusoma husaidia kazi ya injili ikomae kwa vile walengwa wataweza kusoma Biblia wenyewe na kushuhudia kuliko kusikiliza na kusahau au kuyumbishwa na mtu yeyote anayedai kutumia Bilblia.
4. Timu ya AWR itakuwa na muda wa kutembelea vituo hivyo vya wasikilizaji na kutathmini maendeleo.
II: MPANGO WA UGAWAJI (DISTRIBUTION PLAN)
Katika kila Konferensi/Field Mkurugenzi wa mawasiliano na Global mission washirikiane kuhakikisha mradi huo unakwenda vizuri.
A: EASTERN TANZANIA CONFERENCE (ETC) VITUO 80
1. MKOA MOROGORO (Vituo 32-Radio&Megaphone 32)
a. Mtaa wa Misufini.
(i) Misufini SDA Vituo 3(315,000/=kwa Megaphone 3)
· Melela c/o Samuel Mambega
· Mangae/Mkangazi
· Doma c/o Charles Fanuel(Evangalist)
(ii) Mazimbu SDA Vituo 3(315,000/= kwa megaphone 3)
· Mazimbu
· Lue
· Kichangani.
(iii) Mafiga SDA Vituo 3(315,000/=kwa megaphone3)
· Lumanda (kwa Twaro Kibasisi)
· Sokoine c/o yondani
· Kibaoni
(iv) SUA SDA Vituo2 (210,000/=kwa megaphone 2)
· Mindu (kwa kiunga hagilo)
· Lugala
(v) Mzumbe SDA Vituo 2(210,000/=kwa megaphone 2)
· Mlali
· Kinyenze( kwa Kisawani)
(vi) Kihonda SDA Vituo 2(210,000/=kwa megaphone 2)
· Mkundi
· Tungi (kwa Lengai)
(vii) Dumila SDA Kituo 1(105,000/=)
(viii) Mvomero-ETC Global Mission Kituo 1(105,000/=)
c/o Evangalist Gwambaye.
b. Mtaa wa Morogoro Mjini
(i) Morogoro Mjini SDA Vituo 3(315,000/= kwa megaphone 3)
· Mungusi ( kwa Kileli)
· Mkono wa Mara (kwa Ngare Hagilo)
· Ubena (Rulenge)
(ii) Bigwa SDA Kituo 1(105,000/= kwa megaphone1)
· Mikese kwa (Ndikira Ole Lopejo)
(iii) Kilakala SDA Istation(105,000/=kwa megaphone1)
· Dutumi
c. Mtaa wa Kilosa
(i) Kilosa SDA Kituo 1(105,000/=kwa megaphone1)
(ii) Kundi la Kimamba Kituo 1(105,000/= kwa megaphone 1)
(iii) Maeneo Mapya (ETC Global Mission) Vituo 3 (315,000/=)
· Ngoisani c/o Leiyo Lamarai
· Parakuyo (kwa Kibonge)
· Maware c/o Nailayon Motosio/Koyaki
d. Mtaa wa Mlimba
(i) Mngeta SDA Kituo 1(105,000/=)
· Mgudeni/Kichangani
(ii) Ifakara SDA Kituo 1(105,000/=)
e. Mtaa wa Mahenge kituo 1(105,000/=)
· Malinyi
f. Mtaa wa Mlali(Gairo)vituo5(525,000/=)
(i) Kitaita c/o Chiduo(Mwl)
(ii) Kimashale c/o Douglas Semwele
(iii) Chakwale c/o Saidi Leso(Evang&Teacher) and Mwal Kaitira mkuu Chakwale Secondary
(iv) Laiseli (kupitia majawanga) Kiteto Vituo 2
c/o Mwl Mwinjilisti Julius Senyagwa.
2. MKOA WA DODOMA Vituo 18(Radio 18 na Megaphone 18)
a. Mtaa wa Zoisa
(i) Songa mbele SDAKituo1(105,000/=)
· Kinduli c/o Habeli Simbangulu,Stephano Chapi
(ii) Msunjulile SDA Kituo 1(105,000/=)
· Mukutani c/o Joram Masaka
(iii) Makawa SDAVituo2(210,000/=)
· Lugine (Pakine) c/o Yona Chibelenge
· Weza mtima c/oYona Chibelenge
(iv) Matongolo B SDAkituo 1(105,000/=)
· Matulanga c/o Amani Ijiko
(v) Matongolo A SDA Kituo 1(105,000/=)
· Matongolo mbugani c/o Pius Kibawa&Teida Masudia
(vi) Hogolo SDA – Yakobo Masulia
b. Mtaa wa Ddoma
(i) Dodoma Kati SDA na mkanisa yote ya mtaa
vituo 5 (525,000/=kwa megaphone5)
· Dabalo c/o Winston Mbele
· Segara c/oWinston Mbele
· Zuzu
· Bahi
· Babayu
(ii) Maeneo Mapya Chini ya Mtaa wa Dodoma(ETC Glabal Mission Sites)vituo2(210,000/=)
· Orpopong’i c/o Lucas Msamalo
· Liosi
(iii) Mtaa wa Kondoa(Kondoa SDA)vituo2(210,000/=)
· Haneti kituo1 chini ya Yombo SDA
· Haneti kituo1 c/o ETC Global Mission
c. Maeneo Mapya ETC Kuingia Kiteto kutokea Dodoma(Mkoa wa Manyara) vituo3(315,000/=)
· Takaroi (Makawa njia ya kwenda kwa ngomai)
· Laitimi (Manyara kupitia Liosi)
· Tunakai (Manyara kupitia Liosi)
3. MKOA WA PWANI Vituo15 (1,575,000/= kwa Megaphone 15)
a. Chalinze SDA vituo 7(735,000/=)
· Chalinze (Dihungo) c/o Mzee Chache
· Msoga c/o Eniseba Mbwambo
· Lugoba c/o Daniel Wilson/Jeremiah Chache
· Ubena Rulenge
· Msata c/oGeorge Roman
· Mdaula c/o MaikoMotire
· Miono c/o Mwinjilisti Mbwambo
b. ETC Global Mission Sites vituo 5(525,000/=)
· Chamakweza
· Mballa (Munamili’s Familly
· Vituo3 eneo la Gumba (315,000/=)
c. Maeneo chini ya Kanisa la Manzese vituo 3(315,000/=)
· Mballa Kona
· Mballa Kijiweni( Kwa Mzee Majaliwa)
· Mballa Kaskazini (Kwa Mbambile)
4. MKOA WA DAR-ER-SALAAM Vituo 15
(a) Mtaa wa Ilala SDA 210,000/= Vituo 2
(b) Mtaa wa Kinondoni Kituo1 (105,000/=)
(c) Mtaa wa Manzese Kituo1 (105,000/=)
(d) Mtaa wa Mwenge Kituo1 (105,000/=)
(e) Mtaa wa Ubungo Kituo1 (105,000/=)
(f) Mtaa wa Ukonga Kituo1 (105,000/=)
(g) Mtaa wa Kitunda Kituo1(105,000/=)
(h) Mtaa wa Yombo Kituo1(105,000/=)
(i) Mtaa wa Vingunguti Kituo1(105,000/=)
(j) Mtaa wa Magomeni Kituo1(105,000/=)
(k)Mtaa wa Kigamboni Kituo1(105,000/=)
(l) Morning Star Fm Station Kituo1(105,000/=)
(m) Mtaa wa Kurasini Kituo1(105,000/=)
5. ZANZIBAR Vituo 5
(a) Zanzibar SDA Vituo2(210,000/=)
(b) ETC Global Mission Vituo3 (315,000/=)
B: NORTH EAST TANZANIA CONFERENCE (NETCO) Vituo86
1. MKOA WA TANGA Vituo16
(a) Mtaa wa Tanga
(i) Mwakikonge SDA Vituo2(210,000/=)
· Mwakikonge
· Marambura
(ii) Maramba SDA Vituo3(315,000/=)
· Magura
· Mtoni Bombo
· Kalalani
(iii) Korogwe SDA Kituo1(105,000/=)
(b) Mtaa wa Handeni Vituo10(1050,000/=)
(i) Handeni c/o Pr.Mathew Njake
(ii) Makayo c/o Msafiri Sembeo
(iii) Kwedihalawe (Nyapare)
(iv) Misima
(v) Kichwa Ng`ombe
(vi) Meum Embere
(vii) Koisewa
(viii) Ngujuka
(ix) Kwa Mkono
(x) Kibirashi/Mbalahala
2.MKOA WA KILIMANJARO(Vituo 20)
(a) Mtaa wa Makanya
(i) Kitivo SDA Kituo1 (105,000/=)
· Ruvu Chambogo
(ii) Ruvu Muungano SDA Kituo1(105,000/=)
· Ngagi
(b) Mtaa wa Hedaru
(i) Hedaru Central SDA Vituo3 (315,000/=)
· Ruvu Kivukoni
· Irmeserani
· Remiti(Ruvu)
(ii) Gethsemane SDA Kituo1(105,000/=)
· Ruvu Mbugani
(c) Mtaa wa Kihurio
(i) Sayari SDA Vituo2(210,000/=)
· Mbundi (Ndugu)
· Mnazi
(d) Mtaa wa Mbaga
(i) Kisiwani SDA Kituo1(105,000/=)
· Mkomazi Umasaini
(ii) Mnazi moja SDA Kituo1(105,000/=)-
· Njiro Umasaini
(e) Mtaa wa Pare c/o Pastor Alfayo Laizer
(i) Lang`ata SDAvituo2 (210,000/=)
· Kiria
· Ormukana (Lemukuna)
(ii) Mwanga SDA Vituo3(315,000/=)
· Engonika
· Kagongo
· KNCU (Kilimanjaro Native Cooperative Union)
(f) Mtaa wa PASUA Vituo2(210,000/=)
(i) TPC SDA
· Msitu wa Tembo
· Kiruani
(g) Mtaa wa Hai vituo3
(i) Hai SDA Kituo1(105,000/=)
· Engare Naibor(Sanya Juu)
(ii) KIA SDA Vituo2(210,000/=)
· Rajabu
· Naepa(Mtakuja)
3. MKOA WA ARUSHA Vituo 21.
(a) Mtaa wa Meru
(i) Mbugani SDA Vituo2(210,000/=)
· Shambarai Burka(Purka)
· Ong`ata O Nkishu(Makiba)
(ii) Kazamoyo SDA Vituo2 (210,000/=)(Mererani Central)
· Naisinyai
· Entiamutu
(iii) Songa Mbele Kituo1 (105,000/=)
(b) Mtaa wa ARUSHAvituo5
(i) Burka SDA Kituo1 (105,000/=)
· Engororo Umasaini
(ii) Shamsi SDA Kituo1 (105,000/=)
· Kisongo Umasaini
(iii)Mbauda SDA Kituo1 (105,000/=)
· Olasiti(Umasaini)
(iv) Monduli SDA Vituo2(210,000/=)
· Meserani duka bovu
· Loorkesalie
(c) Mtaa wa Sanawari Vituo10 (1050,000/=)
(i) Ngaramtoni SDA Vituo2 (210,000/=)
· Oldonyo Sambu
· Lengijape
(ii) Namanga SDA Vituo 8 (840,000/=)
· Longido na makundi yake vituo (2) c/o Josef Charles
· Enddorko
· Darajani
· Enkare Naibor
· Emuseregi
· Gelai
· Muntarara
(iii) Mjini Kati SDA Kituo1 (105,000/=)
· Ilkidinga (Lekiding`a)
4.MKOA WA MANYARA Vituo 29
(a) Mtaa wa Karatu
(i) Kitete Central SDA Kituo1 (105,000/=)
· Loositet
(ii) Mto wa Mbu SDA Vituo2 (210,000/=)
· Makuyuni
· Engaruka(ng`aruka)
(iii) Loliondo SDA Vituo3(315,000/=)
· Loliondo
· Magaiduru
· Loita
(b) Mtaa wa Babati Vituo3(315,000/=)
(i) Babati SDA Kituo1-Minyingu(105,000/=)
(ii) Kundi la Minjingu Kituo1-Minjingu(105,000/=)
(iii) Oldukai-Global Mission-Ev.Yohana(105,000/=)
(c)Mtaa wa SIMANJIRO (Chini ya Mtaa wa Meru)
(i) Lendanai SDA Vituo 6(630,000/=)
· Ormesera
· Emukutan
· Okutu
· Naing`abobo
· Seku
· Enkumba kumba
(ii)Orkesumet SDA Vituo7(315,000/=) c/o Jonas Lebabu.
· Enddonyo Enkijape
· Lormorijoi
· Naro Soito
· Olerumo
· Enjurai
· Ng`amat
· Loond derkes
(d)Global Mission Chini ya NETCO (840,000/=)
· Kitwai A Vituo 2
· Kitwai B Vituo 2
· Saunyi Vituo 2
· Makami Vituo 2
WAINJILISTI/WAALIMU WALIOPENDEKEZWA ORKESUMET, NGARAMTONI NA LONGIDO KUSIMAMIA VITUO
1. Emanuel Sarng`obu (Simanjiro)
2. Yomat Peshut-Olkesumet
3. Gabriel Nauro-Lemamo – (Longido) (Amependekezwa na Marehemu
Mchungaji Loitopuaki Lebabu)
4. Paulo Sembeo – (Kanisa la Ngaramtoni)
C:SOUTH NYANZA CONFERENCE OF SDA Vituo16 (SNC)
1. MKOA WA MWANZA-Vituo5 (525,000/=)
(i) Pansiasi SDA Kituo1 (105,000/=)
(ii) Nyakato SDA Kituo1 (105,000/=)
(iii) Kirumba SDA Kituo1 (105,000/=)
(iv) Mabatini SDA Kituo1 (105,000/=)
(v) Butimba SDA Kituo1 (105,000/=)
2. MKOA WA SHINYANGA
Mwanhuzi SDA Vituo3 Makao (315,000/=)
3. NGORONGORO MAGHARIBI: SNC Global Mission
(i) Kakesio - Vituo2 (210,000/=)
(ii) Endulen - Vituo5 (525,000/=)
(iii) SNC Office kwa maonyesho Kituo1 (105,000/=)
D: SOUTH-WEST TANZANIA FIELD(SWTF) Vituo 18
1.MKOA WA MBEYA Vituo 8 (840,000/=) (Sijapata makanisa ila Field iwapangie maeneo ya wamasai huko Mbeya)
2.MKOA WA IRINGA Vituo7 (840,000/=)
(Sijapata orodha ya makanisa yanayoweza kufanya kazi Umasaini lakini Field iwapangie maeneo ya Umasaini huko Iringa)
3.SWTF Global Mission itafute Vituo3 (315,000/=).
E: MAENEO YA KATIKATI TANZANIA YA WAMASAI YASIYO NA MAKANISA YA SDA KABISA
Haya bado hayapo katika mpango wa usambazaji redio.
1.Maeneo ya Maasai wa Kiparakuyo
(i) Kiwele (Kiegea)
(ii) Kigunga
(iii) Losiyoi
(iv) Mtambalo
(v) Lengatee
(vi) Lesoit Anglican) (Big Congregation, with school and hospital)
(vii) Mapisa
(viii) Mukora
(ix) Lerai (Wana shule)
(x) Lusane(Karibu na Tunguri) (Kuna makanisa mengi bila Waadventista)
(xi) Kokifu (Yupo laiguanani Ole Lorumak
(xii) Orkilepori
(xiii) Ololosoit (Anglican represented)
(xiv) Kibirashi
(xv) Kwediboma
2.Maeneo ya Wamaasai wa Kikisongo
(i) Sinya
(ii) Olkitikiti
(iii) Lerug
(iv) Kijungu
(v) Mpabui
(vi) Tabora (Parakuyo&Kisongo)
(vii) Palang`a
(viii) Mukindi (Kuna shule)
Wainjilisti wanaoweza kusaidia huko katikati ya Tanzania: Arusha, Manyara, Dodoma, Morogoro na Tanga. :
Moses
Eliya.
TOKA KWA MUANDAAJI WA VIPINDI VYA KIMAASAI:
Ndugu katika Kristo;Tumekuwa tukihubiri na kuelimisha kupitia Redio ya Waadventista Sauti ya Matumaini kwa Wamasai.Lakini timu yetu bado si kamili sana na pia hatungeweza kukusanya mavuno ya wale waliomkubali Kristo.Hivyo wajibu wa kuongoa roho na kukomaza ni kwa Konferensi au field husika pamoja na makanisa na makundi yaliyoko katika maeneo husika. Sisi ni jeshi la anga kusafisha njia makanisa ni jeshi la nchi kavu kuteka wote wanaojisalimisha kwa Yesu. Hivyo kwa ushirikiano tutamaliza kazi.
Hizi Redio na Megaphone zitafanya mapori ya wafugaji yawake moto wa Injili. Pia kazieni sana kupata wainjilisti wa Kimasaai watarajiwa watakaoendeleza kazi katika jamii zao za Kimasaai.
Tunataka tutumie dakika chache kwenye vipindi vya kila siku kutaja vituo ambavyo vimekwisha peleka vifaa hivyo ili wajisikie pia wanakumbukwa. Hivyo twaomba ripoti zifuate hadi kwenye kituo chetu hasa orodha ya wazee wa maboma ya karibu. Pia mjitahidi sana kujenga urafiki na mshikamano kwa wazee wa miji ambao wakielewa kazi itakuwa imetambuliwa na vijana.
Njia nyingine bora ni kuelimisha juu ya mambo ya Afya na kusoma na kuandika. Ikiwezekana kuwepo mkakati wa kununua vitabu vya kusoma na kuanzia mafunzo ya darasa la Furaha. Pia mnaweza kuihusisha Serikali katika mpango wa MEMKWA ili waalimu hao walipwe marupurupu ya wale wanaojitolea kufundisha watu wazima. Ila msisahau watoto ndio waelewa kwa haraka. Chekechea ndogondogo zitawavutia sana wazazi. Baadaye Mungu akipenda tutakuwa na mradi mkubwa wa kuimarisha vituo vilivyomstari wa mbele ili kuleta changamoto kwa vingine. Lakini mshughulikaji mkuu katika vituo hivyo kuandika write-up na kutafuta wafadhili ni kanisa na Konferensi/Field husika.
Utaratibu wa mradi mkubwa kwa ajili ya maeneo mapya (Global Misssion) ni kupigiwa kura kuanzia ngazi za Kanisa, Konferensi, Union, Divisheni hadi General Conference (Halmashauri Kuu ya Kanisa la Waadventista) ndipo hupata uwezeshaji wa kanisa kiulimwengu na mashirika mengine. Mengine hayapendi kusikia udini, ila kimaendeleo mfano kuondoa ujinga , kujenga shule au Zahanati yanakubalika. Twahitaji kutumia busara na hekima maana hata Bwana wetu alisema tuwe werevu kama nyoka na wapole kama hua. Tuangalie pia utapeli umeingia. Watu wengi wametumia jina la Wamaasai kuiba fedha za wafadhili miradi mbalimbali kwa manufaa yao binafsi. Hilo limepunguza imani yao. Naamini kanisa la Mungu ndilo litakalotumia nafasi hii kupeleka huduma na injili ya Yesu bila nyongeza.
Waingereza wanasema ‘the good chance never come twice’. Hii ni nafasi ya pekee kupeleka injili ya mavuno Umaasaini kwa sababu zifuatazo:
Watu wa jamii ya Kimaasai wanapenda ukweli. Hivyo wakielewa ujumbe wetu hawataucha kirahisi. Wanataka uaminifu pia, wanalinganisha maneno na matendo.
Miradi ikibuniwa vizuri (Write-up/Proposals) zaweza kupata ufadhili wa ndani na nje ya nchi. Hii ni kwa sababu ya hali halisi katika jamii ya wafugaji.
Hivi sasa serikali ya Tanzania inaangalia uwezekano wa kuwafanya wafugaji wa kuhamahama watulia mahali pamoja. Hivyo kanisa linaweza kusaidia kwa kuanzisha vituo 200 au zaidi vya mafundisho ya watoto na watu wazima. Pia italeta usuluhushi kwa migogoro kati ya wakulima na wafugaji.
Tutakapochelewa mno kupeleka injili Umaasaini tutakosa nafasi nyingine bora ya kuwafikia. Baada ya kusikiliza AWR idhaa ya Kimaasai wengi wanauliza Kanisa la Wasabato wakikosa watajiunga na Wakristo wowote waliofanya jitihada kuwafikia walipo. Na kuwabadilisha baadaye itakuwa changanoto kubwa.
Kumbukeni muda umekwisha, na Yesu yuaja upesi.
Wenu katika utumishi wa BWANA,
Mch. Lemareka T.Kibasisi,
MUANDAAJI WA VIPINDI KWA LUGHA YA KIMASAAI.

------------------------------------------------------------------------------------------
AWR MAASAI SERVICE REPORT FOR 2006
PRESENTED ON 10TH DECEMBER 2006
AT BOARD OF VOP/TAMC/MSR MOROGORO,
OUTLINE
I. INTODUCTION
II. PROGRAM PRODUCTION
A: Common programs
B: Special Programs
III. LISTERNER FEEDBACK
A: Responses Through Message and Phone calls
B: Responses though producers local visits
C: Through Fellow Adventist visits
D: Souls that joined the church
IV. CHALLENGES AND RECOMMENDATIONS
V. PROJECTINS FOR NEXT YEAR
VI. APRECIATIONS
I INTRODUCTION
It is another good time to present before you the year-end report of Adventist World Radio Maasai language service. Current developments have given us green light that our message is received. The LORD has blessed us with good news from far and near to encourages us in our toil during the time of service in TAMC. The presenter requests any comments, opinions and constructive cliticisms to advance the work of the lord for Maasai people.
It was a very big blow to the church to lose five champions of the gospel at the end of last year tragic accident. But the gap that the late Pr. Loitopuaki S Lebabu has left for AWR Maasai service is big. However his voice is still on air especially during Saturday programs.
II. PROGRAM PRODUCTION
I thank the Lord for Adam Siloti who has been my partner in programs search and production. We have been producing common schedule programs and special programs. The total programs this year are 364.
A: The common including the following:
1. Maasai Culture talk, Christian faith – Sunday
2. Health talk and SDA doctrine – Monday
3. Family life and Development for pastoralist – Tuesday
4. Testimony from listeners and special call Wednesday
5. Music (Christian) and Bible talk – Thursday
6. Steps to Christ and Children’s Conner – Friday
7. Worship program and Bible passage for the week - Saturday
B: Special programs
We have produced two evangelistic programs the first weeks 28 programs at the beginning of the year and 28 programs at the end of the year. This has been special moments to present God’s message without common mixture with social programs
III. LISTERNER FEEDBACK AND RESPONSES
A: Responses through Massages and phone calls.
(i) I received several messages of Maasai listeners who shared with us how they
have been blessed by AWR I had to keep them in my phone because of their importance.
(1) “I must congratulate you and thank you so much buy this encourage that we are hearing you daily. The solution is let us march to God. Your listener” - S. Dodoma.
(2) “Brother I greet you in the Name of the LORD. May God give you long life in this world and everlasting in the world to come”- M. L. Tanga
(3) “How are you my beloved? I am at Manyara I met 20 believers who were
baptized because of listening to AWR. They enjoy listerning it daily. The fist one to catch AWR and introduce toe others was G”- A. L. Manyara.
(4) “Thank you so much servant of God because of the word you shared with
us, may the LORD bless you amen” D. N. _ Kenya
(ii) Apart from text messages several of our listeners have been phoning through my cell phone. The foremost are Daniel Ole Naimodu, a listern from Kenya.
Another one is Wilson Morindet who is also a listener from Kenya. But the great news, which shocked me, is when Bishop Moses Meeli a prominent figure in Kenya shared with me through his phone how our AWR Maasai service is appreciated in Kenya. He is not an Adventist yet he could encourage us to continue the work knowing that we have a trustable audience. Many others called from now and then that shared with us their positive responses.
B. The producer’s visits
The Maasai language producer met several listeners at his local visits. This is during official and private travels. I met many Maasai listeners at Parakuyo village who are listeners of AWR. The same applies to Mbala, Pwani Tanzania a prospective sight for Maasai camp meeting. I met also many in Dar es Salaam who said that AWR is reaching their homeland at central of Tanzania. I met local elders of Longido at Enkare naibor, ARUSHA who also told us that they listern to AWR.
C Through fellow Adventist’s visits
Not only the producer, but also many Adventist have been moving either in their official or private visits. They brought with them good news which acted as a challenge to our work. For example Pastor Philemon Mswanyama visited haneti village of Dodoma and found around 200 Maasai villagers who were listerning AWR. They were asking if the church can be established in their village. All of them were asking to joining the Adventist church.
Another is Pastor Jacob Gagi when visiting Mlali District. Members at Majawanga village brough the report of many Maasai listers residing at Laiseli village of Kiteto. They also invited the speaker of Maasai service to attend their area to teach them more of Adveintist faith.
Pastor D’zombe when at Kilombero district, he met Maasai people who listen AWR daily and they told him that the programs of AWR Maasai are a blessing to them. They knew the producer by name. But they wanted see him face to face .
I have a lot more but time and space des not allow. Finally one Maasai listener met the producer at Magomeni Dar es Salaam. He commented that AWR Maasai language service have changed the attitude of Maasai populations residing at Kilindi district, Tanga. The Anglican church is very dominant at the area but now they started to respect and praise Adventism which they formerly despised. This is good news indeed!
D. Souls that joined the Church:
These are the number of people reported to join the Adventist church this year, which related to aspect of radio ministry. When I visited Mballa many people and new stations are opening. They amount to 114 souls, which joined the church through baptism. At Manyara 20 reported to be baptized as a result of radio work and at Longido 48 Maasai people were baptized during a crusade but also AWR paved the way. The total number for this year is 182.
IV CHALLENGES AND RECOMMENDATIONS
As I have noted earlier, the listeners always wants visits. But this is too much for us. We are only two and program production is pressing us hard to respond to the outer calls. The budget also is limited to attend a vast area of our listeners. There is widespread interest manifested buy our listeners to our message. AWR has been a tool to promote life in Jesus Christ. But we are not equipped to go down and start seminars and classes, crusades. People are already there out. They now need to be baptized but they don’t see us! Their consciences are awakened but who will go after them. It is time for our field’s and conferences to mobilize churches of their mission to work for Maasai people. Otherwise there is no meaning for AWR if the fruits are not gathered.
V. PROJECTIONS FOR NEXT YEAR
(1) We would like to attend many more calls of our listeners.
(2) We are planning to involve the large membership with interest in evangelizing Maasai people through radio distribution project
(3) Maasai Camp meeting. We are planning to have special Maasai Camp-meeting 2008. It is sad that it is postponed again but God will make it effective more.
(4) We want to raise a team of evangelists in each field and conference to reach to Maasai people. (Developing a work force), that will be facilitated to meet the Maasai people at their areas
(5) Organize literacy and nursery schools at several locations, by using cheap material at the beginning, and volunteers teachers
VI APPRECIATIONS
Many thanks to sponsors of AWR who donated 250 radios for AWR Maasai listeners. We delayed in distributing them because we want to make them so much effective. We have already arranged 200 stations to amplify the voice of AWR in their homesteads.
Also we thank Tanzania Union Mission for giving special treatment to Maasai people. This includes TAMC Board. Last but not least the AWR Africa region office has done much to facilitate our process of sending programs to South Africa through the internet! We praise God because we never missed our programs because of this advanced technology.
Prepared by:
LEMAREKA T. KIBASISI,
PRODUCER AWR MAASAI LANGUAGE SERVICE , MOROGORO TANZANIA
No comments:
Post a Comment